Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services baadhi ya vibao maalumu kwa ajili ya kujifunzia wanafunzi wa darasa la awali.
Muonekano wa darasa hilo la awali kabla ya kukabidhiwa mikeka ya kukalia, awali wanafunzi hao walikuwa wakikaa chini. |
No comments:
Post a Comment