Mbunge wa Viti Maalum CCM Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Jimbo la Kawe Mh. Halima James Mdee akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Vunjo Mh.James Francis Mbatia akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mh.Jumanne Abdallah Maghembe akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Handeni Vijijini Mh. Mboni Mohamed Mhita akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Viti Maalum CCM Neema Mgaya akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
No comments:
Post a Comment