Mhandisi wa Manispaa ya Kinondoni, Baraka Mkuya akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salam leo na kuwaomba wananchi wa eneo la Basihaya kata ya bunju kuwa watii wa sheria bila shuruti wakati wa ubomoaji wa majengo yaliyojengwa kwenye sehemu za wazi, pia amewahi wananchi kujua maeneo ya wazi yaliyo karibu nao, pia ameongezea kuwa wananchi wakiona maeneo ya wazi yanajengwa watoe taarifa manispaa ya Kinondoni au wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi.
Ubomoaji wa maeneo ya wazi katika Mtaa wa Basihaya Kata ya Bunju jijini Dar es Salaam Ukiendelea.
Wananchi wakiondoa mbao katika eneo la wazi walipokuwa wameziweka ili kupisha ubomoaji uniendelea.
No comments:
Post a Comment