Monday, November 16, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA DODOMA

S1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, Sheikh Ahmad Said Ahmed. Picha na OMR
S11
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,  Chiku Galawa, wakati wa mkutano na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Picha na OMR
S4
Baadhi ya Viongozi wa Dini wa Mkoa wa Dodoma,wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, wakati akihutubia alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma, leo Nov 16, 2015. Picha na OMR
S5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Chiku Gallawa (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, Sheikh Ahmad Said Ahmed, kwa pamoja wakisimama kuomba dua wakati wa mkutano na Viongozi wa Kamati hiyo,mkoani Dodoma leo, Nov 16, 2015. Picha na OMR
S6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, baada ya kuzungumza nao kwenye mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo, mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Picha na OMR
S7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, baada ya mkutano uliofanyika leo Nov 16, 2015 kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma. Picha na OMR
S9S10
makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, Askofu wa Kanisa la KKKT Mkoa wa Dodoma, Kinyunyu Amon, baada ya mkutano uliofanyika leo Nov 16, 2015 kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma. Picha na OMR
S2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa. Picha na OMR

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...