Thursday, November 19, 2015

DK TULIA ACKSON MWANSASU AIBUKA MSHINDI WA KITI CHA NAIBU SPIKA WA BUNGE

Dk Tulia  Ackson Mwansasu ameibuka mshindi wa kiti cha Naibu Spika wa Bunge kwa kupata kura 250 sawa na asilimia 71.2% ya kura zote 351 zilizopigwa.
Mh. Magdalena Sakaya amepata kura 101 sawa na asilimia 28.8 ya kura zote zilizopigwa.
Hakuna kura iliyoharibika

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...