Wednesday, November 18, 2015

AIRTEL YAFUNGUA DUKA JIPYA MJINI MOSHI

 Toka kushoto ni Meneja wa mamlaka ya mawasiliano kanda ya kaskazini (TCRA)  Eng, Annette Mahimbo Matindi na   Afisa tarafa wa Moshi Mashariki bi Evelyne Zakaria (kati) wakiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi, Adriana Lyamba wakishirikiana kukata utepe wakati Airtel ikizindua duka jipya mkoani Kilimanjaro mtaa wa Mandela jana. Kulia wakwanzani akishudia ni Meneja wa Biashara wa Airtel kanda ya kaskazini bw Brighton Majwala. 
 Katikati ni mkurugenzi wa huduma kwa wateja Bi, Adriana Lyamba akijadiliana jambo na Meneja wa tawi la Biashara la Airtel Mkoa Kilimanjaro bw, Paschal Bikomagu (kushoto) na msimamizi wa maduka hayo bw, Thomas Chalamila mara baada ya Airtel kuzindua duka la kisasa moshi mtaa wa mandela jana au soko kuu.
  Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Artel Bi Adriana Lyamba akimuhudumia bw, Ally Janja ambae ni Meneja wa Tawi la NBC Kilimanjaro na pia mmmoja kati ya wateja  maalum  wa Airtel wakiwa katika dula jipya la Airtel Moshi lenye kona maalum kwa wateja hao (Airtel Premium) mara baada ya duka hilo  jipya na lakisasa kufunguliwa jana na Airtel mkoani Kilimanjaro.
picha ya pamoja

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...