Wednesday, September 02, 2015

MAPOKEZI MAKUBWA YA EDWARD LOWASSA SONGEA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma janaSeptemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi, Ruvuma.


Mamia ya wakazi wa Songea waliojitokeza kumsikiliza Mh Edward Lowassa

No comments:

RAIS SAMIA AONDOKA DAR AWASILI DUBAI KUSHIRIKI MKUTANO WA DUNIA WA SERIKALI NA JUHUDI ZA UWEKEZAJI AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka nchini kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo tarehe 0...