Friday, September 11, 2015

MAGUFULI AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha wageni nyumbani kwa Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere,kulia ni Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na kushoto ni Chief wa Wazanaki Japhet Wanzagi.
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na watoto wa Baba wa taifa pamoja na Chief Japhet Wanzagi kuelekea kwenye kaburi la Baba wa Taifa.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

No comments:

Rais wa Sierra Leone Awasili nchini

Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wak...