Wednesday, September 02, 2015

DR. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA MASASI

1
 Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Masasi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Bomani mjini Masasi ambapo amewaomba kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu ili aweze kuwatumikia Watanzania na kuleta maendeleo na mabadiliko Bora na siyo bora mabadiliko.
2
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo hutubia wakazi Masasi.
 Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa kijiji cha Matemanga wilayani Tunduru ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hiyo ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Dk. Emmanuel Nchimbi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Namtumbo.
????????????????????????????????????
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Nanyumbu mkoani Mtwara wakati akiwa njiani kuelekea Masasi kwa ajili ya kampeni.
????????????????????????????????????
Lazima tumuona Magufuli  hapa.
????????????????????????????????????
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM mkoani Mtwara Ndugu Mohamed Sinan wakati alipokuwa akimkaribisha ili kuzungumza na wakazi wa Nanyumbu mkoani Mtwara.
????????????????????????????????????
Wananchi wa kijiji cha Michiga wakimsikiliza Dr. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao kijijini hapo.
????????????????????????????????????
Wakazi wa Mangaka wakimsikiliza Dr. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia akiwa njiani kuelekea Masasi.
????????????????????????????????????
Dk. Magufuli akiwahutubia Wakazi wa Mangaka
????????????????????????????????????
Baadhi ya wazee wa kijiji cha Majimaji wakimsikiliza Dk. Magufuli.
????????????????????????????????????
Akina mama hawa wakionyesha furaha yao mara baada ya kumuona Mgombea Urais Kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa kijiji cha Majimaji wilayani Nanyumbu.
????????????????????????????????????
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akipokea kadi za waliokuwa wanachama wa CUF mara baada ya kujiunga na CCM kwenye mkutano wa kampeni mjini Tunduru.
????????????????????????????????????
Baadhi ya vijana waliojiunga na CCM mjini Tunduru baada ya kurejesha kadi zao kwa Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakipiga picha ya pamoja.
????????????????????????????????????
Wana CCM wakifurahia hotuba ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akihutubia  mjini Tunduru.
????????????????????????????????????
Wakazi wa mji wa Tunduru wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akihutbia wananchi wa mji wa Tunduru.????????????????????????????????????
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akihutbia wananchi wa mji wa Tunduru.
????????????????????????????????????
Wana CCM wakifurahia hotuba ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Mama huyu akimbeba mtoto wake kuhakikisha mtoto wake naye anamuona Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Vijana wa kata ya Matemanga wakifuatilia hotuba ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano  ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akiwanadi wagombea Ubunge na UdiwaniaKatika mji wa Namtumbo.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wana CCM wakiwa wamevalia sare zao zenye picha ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Wana CCM ni Shangwe tu kwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...