Monday, January 04, 2016

KIKUNDI CHA TUWAJALI FOUNDATION CHAANZA MWAKA KWA KUSAIDIA KITUO CHA SIFA KILICHOPO BUNJU B DAR

Baadhi ya wanakikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada.
Baadhi ya vitu vimetolewa kwa kituo cha Sifa Foundation
 Bi. Sifa (Kulia) ambaye ndiye mwanzilishi wa  kituo hicho cha Sifa Foundation akiwa anatoa shukurani kwa mmoja wa kiongozi wa Tuwajali Foundation Bw. Nurdin baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Unga, Mchele, Sabuni, Nguo na vitu vya kuchezea watoto.
Baadhi ya
wanakundi la Tuwajali wakiwa katika kituo hicho na watoto
Wanakundi wa Tuwajali wakiwa pamoja na watoto hao baada ya shughuri ya kukabidhi msaada huo

No comments:

BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.

Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Ag...