Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas akiongea na wanahabari katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo, Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda akimkabidhi bendera Nahodha wa Timu ya Taifa ya wanaume ya Mpira wa Magongo Bw. Amarjet Singh katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwenye mashindano ya mchezo huo, wa kwanza kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo, Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda akimkabidhi bendera Nahodha wa Timu ya Taifa ya wanawake ya Mchezo wa Mpira wa Magongo Bi Kidawa Abdallah katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwenye mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni,wa kwanza kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas.
Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas akimkabidhi jezi Nahodha wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Magongo Bw. Amarjet Singh katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Picha na Benjamin Sawe
No comments:
Post a Comment