Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimnadi Mgombea wa Jimbo la Bunda Vijini.
Mwigulu akizungumza na wanaserengeti amewaomba”Naomba mmchague Magufuli kwasababu tunazo sababu nyingi za kuhakikisha anakuwa Rais wa Tanzania,Magufuli yeye rafiki yake ni Kazi tu,Hivyo wananchi wamchague Mgombea Urais mwenye kusimamia kazi na shughuli za Maendeleo.
Mwigulu akimnadi Mgombea Ubunge viwanja vya Silali hii.
Wanaserengeti wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi-Serengeti.
Wanasilali wakishangilia sera za Chama cha Mapinduzi”Elimu ya Bure kuanzia kidato cha Kwanza hadi Sekondari”
MwanaCCM kwa raha zakeee!!!!
Sehemu ya Mamia ya Wananchi wa Rolya wakionesha kuunga hatua za Chama cha Mapinduzi kuachana na kuteua Mafisadi kuwania Urais.Magufuli ni zao la watanzania wa kawaida sana,hivyo anazijua shida za Watanzania.
Mwigulu akiagana na Wananchi wa Rolya maa baada ya mkutano wake wa kampeni.
Mwigulu Nchemba akiagana na Wananchi wa Musoma Mjini jioni ya leo mara baada ya Mkutano wa hadhara wa kampeni wa kumuombea kura Rais Mtarajiwa j.Pombe Magufuli,Kuwaombea kura Madiwani na Mbunge Ndg.Vedasto
Picha na Sanga Festo Jr.
No comments:
Post a Comment