Leo ni Leo Mwanza… maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu wamejitokeza kwenda CCM Kirumba jijini Mwanza kuhudhuria mkutano wa kufunga kampeni leo Oktoba 24, 2015.
Kila mmoja akijikaza kujongea CCM Kirumba, Mwanza.
Leo hapakaliki…
No comments:
Post a Comment