Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam Octoba 12,2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose na ujumbe aliofuatana nao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam Octoba 12,2015.
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment