Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika sherehe za kukabidhi maktaba ya Komyuta katika shule ya sekondari ya Lugoba mkoani Pwani Oktoba 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifungua maktaba ya kompyuta katika shule ya sekondari ya Lugoba mkoani Pwani iliyopatikana kwa ufadhili wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vietnam ya Halotel Oktoba 14, 2015.Kushoto ni Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Vietinam, Nguyen Bac Son na wapili kulia ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa makame Mbarawa. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu .
Wasanii wa ngoma ya Kisukuma wa Mlele wakicheza katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment