Wapambe wa Bunge wakiuingiza mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam kwa heshima za mwisho Oktoba 15, 2015.
(Picha n Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa lieyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es slaam Oktoba 15, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdllah Kigoda kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam Oktoba 15, 2015.
No comments:
Post a Comment