Mgombea ubunge wa jimbo hili kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cosato akiwahutubia wananchi wa Ihimbo
Chalamila kampeni meneja akihutubia wanachi wa Ihimbo
Mgombea ubunge wa jimbo hili kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cosato akiongea na mlemavu wa viungo kwenye mkutano wa Ihimbo.
……………………………………
Na
fredy Mgunda, Mafinga
Wananchi
wa kata ya rungemba katika jimbo la mafinga
mjini
wampongeza mgombea ubunge wa jimbo hili kupitia tiketi ya chama cha
mapinduzi
(CCM) cosato chumi kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuwapa
matumaini
kuwa atakuwa kiongozi mzuri na kuwaletea maendeleo katika jimbo hilo.
“Tumeona
wagombea wengi wakija hapa kupiga kampeni na
kuomba
kura kwa njia ya matusi na kuhamasisha kutomchagua kiongozi furani
pasipo
kutaja au kuongelea hata hoja za msingi kwanini wanaomba kura zetu”
walisema
wananchi hao
Waliongeza
kwa kusema kuwa imefika wakati wananchi
wanapaswa
kuwakata wapinzani katika jimbo hilo kutokana tabia yao kuwafundisha
tabia
mbaya wafuasi wao hasa wanapoamua kuanza kuchana mabango ya wagombea wa
chama
cha mapinduzi (CCM)
“Tuliwakamata
baadhi ya vijana wakiwa wananchana
mabango
ya wagombea wa ccm katika kata hii lakini tulipowafikisha kituo cha
polisi
walisema wanatumwa na viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo
chadema”
walisema wananchi hao
Wananchi
hao wamewasisitia wananchi wa jimbo hilo kutunza
na
kuhifadhisehemu nzuri vitambulisho vyao vya kupigia kura kutokana na tabia
inayoanza
hivi sasa wanataka namba za vitambulisho na wengine wananunua
vitambulisho
hivyo wananchi tutajinyia haki yetu ya msingi ya kumchagua
kiongozi
tunayemtaka kwa kuza vitambulisho vyetu.
“Kwa
sasa wananpita usiku waki wakitaka kununua
vitambulisho
vyenu au tuwatajie namba za vitambulisho vyenu na kuahidi kutupa
kiasi
kikubwa cha pesa ili kufanikisha lengo lao,hivyo tunawaomba jeshi la
polisi
na mamlaka husika kulizibiti tatizo hilo kabla ya uchaguzi ili wananchi
watumie
haki yao ya msingi”.walisema wananchi hao
Kwa
upande wake mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia
chama
cha mapindizi (CCM) COSATO CHUMI amesema wananchi wanapashwa kuwa makini
na
mbinu chafu zinazotumiwa na wapinzani wake kwa kuwalaghai wananchi kwa
kununua
vitambulisho au kunakili namba za vitambulisho hivyo
.
“Tuwakatae
viongozi wa namna hiyo kwa kuwa lengo lao
ni
kutaka kuununua uongozi kwa nguvu ya pesa na kuwa wao sio chaguo la wanachi
hivyo
wananchi msidhubutu kufanya hivyo mtapoze haki yenu ya msingi na hampata
kiongozi
atakaye waletea maendeleo”.alisema chumi
Lakini
chumi alisikika akiwaambia wananchi wa kata
hiyo
tuwakatae wagombea hao wanaohamasisha kuturushia mawe kwenye mikutano yenu
lakini
kupiga mawe gari zenu na kuhamasisha vurugu kwa wananchi katika kipindi
hiki
cha kampeni je mkiwapa madaraka si ndio watawaongoza kwa kutumia mabavu
kwa
kuwa hata kuingia madarakani wametumia nguvu.
“Nawaombeni
wanachi wa kata ya rungemba kukipigia kura
cha
chama cha mapinduzi (CCM) kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge hadi urais kwa
kuwa
viongozi hao wote wanasifa ya kuwa viongozi wa nchi hii”alisema chumi.
Naye
kampeni meneja wa mgombea huyo amewataka wananchi
kuwataa
kabisa wapinzani kwa kuwa si waadilifu kutokana na wazazi wao
kujilimbikizia
mali kipindi baba yake akiwa mbunge kwa takribani miaka
thelathini na sasa wanatumia mali hizo
kuwadanganya
wananchi na kuwaraghai kwa vijipesa vyao lakini wao hawana aiba ya
kuwa
viongozi.
Alimalizia
kwa kuwaomba wananchi wa jimbo hilo
kumchagua
cosato chumi kwa kuwa ni kiongozi mzuri na atawaletea maendeleo
wananchi
wa jimbo hilo.
Comments