Friday, September 11, 2015

MKURUGENZI RASILIMALIWATU WA NHC AFUNGA MAFUNZO YA SAIKOLOJIA NA UNASIHI LEO

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba, James Rhombo akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa leo wakati akifunga mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. Mafunzo hayo yamedumu kwa takribani siku nne kwa mameneja na Wakurugenzi.
 Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Wanasihi  nchini, Mnasihi na Mtoa maada katika semina iliyofanyika leo, Heriel Mfangavo akitoa mada kwa wafanyakazi, wakati wa mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. Mafunzo hayo yamedumu kwa takribani siku nne kwa mameneja na Wakurugenzi. Mafunzo hayo yamefanyika Makao Makuu ya Shirika la Nyumba NHC, NHC Place.
 
Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. Mafunzo hayo yamedumu kwa takribani siku nne kwa mameneja na Wakurugenzi.
Viongozi walioteuliwa kutoka katika kila idara wakati wa mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. Mafunzo hayo yamedumu kwa takribani siku nne kwa mameneja na Wakurugenzi.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba, James Rhombo akitunuku cheti cha uhitimu wa mafunzo hayo kwa Edna Chogo wakati akifunga mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. 
 Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba, James Rhombo akitunuku cheti cha uhitimu wa mafunzo hayo kwa Bernadeta Makange wakati akifunga mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. 
 Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba, James Rhombo akitunuku cheti cha uhitimu wa mafunzo hayo kwa Sarah Samson wakati akifunga mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. 
 Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba, James Rhombo akitunuku cheti cha uhitimu wa mafunzo hayo kwa Esther Magesse wakati akifunga mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. 
 Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba, James Rhombo akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa leo wakati akifunga mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. Mafunzo hayo yamedumu kwa takribani siku nne kwa mameneja na Wakurugenzi.

 Wawezeshaji Vivian Nankurlu na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Wanasihi  nchini, Heriel Mfangavona wakifuatilia mwenendo semina hiyo ya mafunzo iliyofanyika leo.

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba, James Rhombo akitunuku cheti cha uhitimu wa mafunzo hayo kwa Yotham Mackenzie, wakati akifunga mafunzo ya Saikolojia na ushauri nasaha na nafasi yake katika kuboresha ufanisi wa kazi. 

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...