Monday, February 03, 2014

WAZIRI KIGODA AZINDUA UKUMBI WA MIKUTANO WA KISASA DAR


Mgeni rasmi Mhe. Dk. Abdallah Kigoda (katikati) akiingia ukumbini.
  Mwenyekiti wa BNN Convention Centre, Paul Koyi (Kushoto) wakijadiliana jambo na Mwakilishi wa Jameson Tanzania, Adam Kawa kabla ya mgeni rasmi kuingia.
Mwenyekiti wa BNN (Kulia) akitaniana na waziri Kigoda mara baada ya kuwasili
Waziri Kigoda akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa BNN na Jameson
Mwanyekiti wa BNN akiwakaribisha wageni waalikwa pamoja na kutoa nasaha zake
….. akiwapongeza wafanyakazi wote wa BNN na wageni waalikwa
Mwakilishi wa Jameson Tanzania, Adam Kawa (kulia) akimkabidhi zawadi ya kinywaji cha Chivas waziri Kigoda
Waziri Kigoda na wenyeji wake wakifuatilia jambo ukumbini humo
Akiongea na waandishi wa habari
Adam (kushoto) akijadiliana jambo na Mc wa hafla hiyo
Baadhi ya wageni waalikwa wakipozi kupiga picha
Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na Adam
Adam akibadilishana mawazo na baadhi ya vijana wake
 …wakipata vinywaji.  
Mmoja wa wageni waalikwa, Awadhi Said akipata kinywaji
audumu wa vinywaji vya Jameson wakiwajibika
Mwenyekiti wa BNN (Kushoto) akimwelekeza jambo Waziri Kigoda
  Baadhi ya wageni waalikwa wakipatiwa uduma ya Bites.
Jana jioni kulifanyika hafla ya uzinduzi wa kituo cha mikutano cha BNN Convention Centre, kilichopo ndani ya jengo la Quality Centre, Barabara ya Nyerere, jijini Dar es salaam, mgeni rasmialikuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dr. Abdallah Kigoda (Mbunge).
Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Kampuni ya Pernord Ricard Sub-Saharan Africa, watoaji wa pombe za Chivas, Ricard, Malibu, Jameson, The Glenlivet, Absolut Vodka, Ballantines, Kahlua, Havana Club, Beefeater, Martell, Royal Salute na Perriel Jolet.
(PICHA/STORI: ISSA MNALLY/GPL

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...