Thursday, February 20, 2014

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA KUTOKUWA NA UWAKILISHI KATIKA BUNGE MAALUM LA TANZANIA.

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi alipokuwa akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
03 KM
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi alipokuwa akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

No comments:

MAJALIWA: FANYENI TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI

Dar es Salaam, 18 Juni 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa watafiti na wapangaji wa s...