Monday, February 10, 2014

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene atembelea Shirika la Nyumba la Taifa

Frank Mbapila, Msanifu wa Miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na akina Haikamen Mlekio, Mratibu wa Miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (wa kwanza kushoto) na wenzao wakibadilishana mawazo kabla ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene kuwasili makao makuu ya shirika leo mchana.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akiwasili makao makuu ya shirika leo mchana
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu ya shirika leo mchana.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akifuatilia presentation iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter (hayuko pichani) leo mchana.

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akiwasili makao makuu ya shirika leo mchana, wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah ambaye pia ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Milki wa Shirika la Nyumba la Taifa.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu ya shirika leo mchana.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu ya shirika leo mchana.
 Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter akiendelea kutoa presentation ya namna miradi ya Shirika inavyoendeshwa.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface Tuguluvala Simbachawene akifurahia jambo baada ya presentation iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter (hayuko pichani) leo mchana.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...