Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Nevile Meena wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari katika Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Kelvin O'Flaherty.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kulia) akielezea utendaji wa kampuni hiyo, wakati wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari walipotembelea Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.
Robin akisalimiana na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Habari Leo, Joseph Kulangwa
Wahariri wa Vyombo vya Habari wakitembelea eneo la upikaji bia wakati wa ziara yao iliyofanyika kwenye Kiwanda cha Bia Tanzania cha Dar es Salaam
Mtalaam wa Upishi Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Benjamin Budigida akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari walipotembelea Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.
Meneja wa Usimamizi wa Ubora wa Bia wa TBL, Conchesta Ngaiza (kulia) akielezea jinsi wanavyodhiti ubora wa bia.
Wahariri wa Vyombo vya Habari wakitembelea idara ya uchachuaji wa bia wakati wa ziara yao iliyofanyika kwenye Kiwanda cha Bia Tanzania cha Dar es Salaam
Fundi wa Upishi Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Benjamin Budigida akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochujwa wakati wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari walipotembelea juzi Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.
Mhariri kutoka Gazeti la Mwananchi, Rashid Kejo akifurahia kupata zawadi yake
Joseph Kulangwa wa Gazeti la Habari Leo, Joseph Kulangwa akipatiwa zawadi
Mhariri wa Gazeti la Uhuru, Jane Mihanji akipokea zawadi ya bia baada ya kumaliza ziara TBL
Meneja Mawasiliano Mambo ya Nje wa TBL, Emma Orio akifafanua jambo mbele ya wahariri
Wahariri wakiwa katika picha ya pamoja a viongozi wa TBL wakati wa ziara hiyo
Wahariri wakizuru Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment