Dakika ya 80, Saimon Msuva anaipatia Young Africans bao saba
Dakika ya 75, Ruvu Shooting 0 - 6 Young Africans
Dakika ya 70, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la sita
Dakika ya 69, anaingia Juma Abdul kuchukua nafasi ya Mbuyu Twite
Dakika ya 54, Didier Kavumbagu anaipatia Young Africans bao la tano
Dakika ya 30, Ruvu Shooting 0 - 4 Young Africans
Dakika ya 30, Mrisho Ngasa anaipatia Young Africans bao la…
Dakika ya 75, Ruvu Shooting 0 - 6 Young Africans
Dakika ya 70, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la sita
Dakika ya 69, anaingia Juma Abdul kuchukua nafasi ya Mbuyu Twite
Dakika ya 54, Didier Kavumbagu anaipatia Young Africans bao la tano
Dakika ya 30, Ruvu Shooting 0 - 4 Young Africans
Dakika ya 30, Mrisho Ngasa anaipatia Young Africans bao la nne
Dakika ya 27, Emmanuel Okwi anaipatia Young Africans bao la tatu
Dakika ya 2, Saimon Msuva anaipatia Young Africans bao la pili
Sekunde ya 40, Didier Kavumbagu anaipatia Young Africans bao la kwanza.
YANGA LINE-UP: Deogratias Munish -30, Mbuyu Twite - 6, Oscar Koshua - 4, Nadir Haroub - 23, Kelvin Yondani - 5, Frank Domayo - 18, Saimon Msuva - 27, Mrisho Ngasa - 17, Didier Kavumbagu - 7, Emmanuel Okwi - 25, Hamis Kizza - 20
Subs:Juma Kaseja - 1, Juma Abdul - 12, David Luhende - 3, Rajab Zahir - 14, Athuman Idd - 24, Hassan Dilunga - 26, Said Bahanuzi - 11
RUVU SHOOTING LINE-UP: Abdallah Ramadhani, Michael Aidan-20, Stephano Mwasyika-21, Mangasini Mbonosi-21, Shabani Suzan - 24, Alli Kani Mganda- 14, Hamis Ismail-17, Juma Nade-5, Elias Maguli-10, Lambele Jerome-11, Cosmas Lewis-3
Sub:Mahamudu Mbulu-18, Mau Boffu-3, Gidion Sepo-22, Ayoub kitala-7, Juma Mdini-13, Said Dilunga-15.
SOURCE: GLOBALPUBLISHERS
No comments:
Post a Comment