Monday, February 10, 2014

Mchumi wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Shadrack Mwanjuguja Akiwa akunjwa na vijana baada ya kutokea vurugu jana asubuhi katika Kijiji cha Ruanda wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Santilya, Mbeya Vijijini



Mchumi wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Shadrack Mwanjuguja akidhibitiwa na vijana baada ya kutokea vurugu jana asubuhi katika Kijiji cha Ruanda2 wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Santilya, Mbeya Vijijini. Picha na Godfrey Kahango 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...