Meneja wa Vodacom wa kibiashara wilaya ya Kinondoni Edger Jonas akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa duka jipya la Vodacom maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia kutoka kulia kwake ni Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi, Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na Msimamizi wa Maduka ya Vodacom Magret Lawrence. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.…
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Makamu wa Rais wa Zimbabwe akutana na CP Kaganda kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Po...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Pascal Mayalla akiwa katika chumba cha wagonjwa Daraja la kwanza katika hospitali ya mkoa wa Dodoma ambako amelazwa kwa matibabu baada ya ku...
No comments:
Post a Comment