Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa Godfrey Mgimwa (wa pili kushoto) akisindikizwa na wana CCM wenzake kwenda kuchukua fomu za kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga kwa Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Iringa
Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Iringa,Pedenciana Kisaka akimkabidhi fomu za uteuzi za kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga, Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa Ambaye ni Mgombea wa CCM Godfrey Mgimwa jana. Picha zote na Frank Leonard
No comments:
Post a Comment