Thursday, February 27, 2014

Picha Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma

 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Philemon  Ndesamburo (kulia) na Halima Mdee wakielekea katika ukumbi wa mkutano jana mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge la Katiba Hamad Rashid Mohamed(kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania na mjumbe wa bunge la Katiba Anne Makinda (kulia)jana mjini Dodoma wakati wa mkutano wa bunge hilo.
 Mjumbe wa Bunge la Katiba John Chipaka (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania na mjumbe wa bunge la Katiba Anne Makinda (kulia)jana mjini Dodoma wakati wa mkutano wa bunge hilo.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia)  akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema jana kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Hamis Damumbaya (katikati), Catherine Sibuti (kulia) na Veronica Sophu ambao ni wawakilishi wa wakulima wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma.
 Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo wakati wakielekea katika mkutano jana mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, vijana , Utamaduni na Michezo Juma Mkamia , Vincent  Nyerere (katikati) na Profesa Kapuya.
 Mjumbe wa mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Esther Bulaya(kushoto) akibadilishana mawazo na waandishi wa habari jana mjini Dododma kabla ya kikao cha Bunge kuanza.
Wajumbe wa Bunge la Katiba Mary Mpangala(kushoto), Salim Ally (wa pili kushoto) , John Chipaka (wa pili kulia) na Doinick Lyamchay(kulia)wakibadlishana mawazo jana mjini Dodoma.Picha zote -MAELEZO-Dodoma

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...