Monday, February 17, 2014

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dkt. Gharib Bilal, Akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Wakati Alipokuwa Akiingia Kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma


  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mjumbe mwenzake Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiingia kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma  kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM. 

No comments:

Makamu wa Rais wa Zimbabwe akutana na CP Kaganda kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Po...