Friday, December 13, 2013

TASAF YATOA ELIMU KWA WANAHABARI JUU YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI



  Mkurugenzi wa Huduma za jamii kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) Amadeus Kamagenge akitoa  mada leo kwa  baadhi ya  waandishi wa habari na wahariri  kutoka Tanzania Bara na  Zanzibar  kwenye  warsha  ya siku mbili ya kujenga uelewa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini  wa awamu ya tatu inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo

Baadhi ya  waandishi wa habari na wahariri  kutoka Tanzania Bara na  Zanzibar wakiwa  katika  ya warsha  siku mbili  leo ya kujenga uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa  kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF).


Mkurugenzi Mtendaji wa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Ladislaus  Mwamanga akifafanua jambo leo   kwa baadhi  ya  waandishi wa habari na wahariri  kutoka Tanzania Bara na  Zanzibar  kwenye  warsha  siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru kaya masikini  wa awamu ya tatu inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.

Baadhi ya  waandishi wa habari kutoka  Zanzibar wakiwa  katika  ya warsha  siku mbili leo  ya kujenga uelewa wa mpango wa  awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF).


Msanifu wa gazeti la Uhuru ,Lilian Timbuka akiuliza swali leo kuhusu mpango  wa kunusuru kaya masikini  kwenye  warsha ya  siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru kaya masikini  wa awamu ya tatu inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.

Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano kutoka  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Zuhura Mdungi  akifafanua jambo leo  katika  ya warsha  siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa  awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.

Afisa  Uhawilishaji fedha kutoka  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Edith Mackenzie  akifafanua jambo leo  katika  ya warsha  siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa  awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.

Baadhi ya  waandishi wa habari na wahariri  kutoka Tanzania Bara na  Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya  viongozi wa  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) , wa tatu kutoka  kushoto waliokaa ni Mkurugenzi Mtendaji wa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Ladislaus  Mwamwanga mara baada ya kufunguliwa kwa warsha ya siku mbili leo  ya kujenga uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa  kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.

Posted By Blogger to THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...