Saturday, December 07, 2013

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AHUDHURIA MAHAFALI YA MZUMBE, BINTI YAKE JANET PINDA ALA NONDO!!


 Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (Kulia)  akipongezwa na mdogo wake Nasirika Nyema   baada ya kutunukiwa  Shahada ya Uzamili  ya Uongozi katika Mifumo ya Afya  kwenye Mahafali  ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Mjini Morogoro Desemba 6, 2013.
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,  Janet Pinda akipongezwa na shangazi yake , Beatha Pinda Kaitira (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya uongozi  katika mifumo ya afya kwenye mahafali ya chuo kikuu cha mzumbe mjini Morogoro December 6, 2013.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Jaji Barnabas Samata  (kushoto) akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya Chuo Kikuu hicho,  Mbunge  wa Viti Maalum Pindi Chana  katika Mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjiniMorogoro  Desemba 6, 2013. Katikati ni mkewe Tuni.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia)  wakiwa na Binti yao Janet Pinda  ambaye alitunukiwa  Shahada  ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro  Desemba 6, 2013.
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda  (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika  Nyema (wapili kulia) na  Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa  Shahada ya Uzamili  ya Uongozi  katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...