Wednesday, December 18, 2013

Semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni yazinduliwa mkoani Morogoro

Katibu wa Itikadi na Uenezi mkoa wa Morogoro, Dorothy Mwamsiku, akifungua semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni, leo Des 17, 2013, katika hoteli ya Road View, nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro. Wengine ni Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo, Salum Madenge na Mwenyekiti wa Wazazi Kinondoni, Charles Mgonja. Picha na Latifa Ganzel
Baadhi ya Wajumbe wakiwa ukumbini kwenyesemina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni, leo Des 17, 2013, katika hoteli ya Road View, nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro. Picha na Latifa Ganzel

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...