Monday, December 09, 2013

KAMPENI YA NANI MTANI JEMBE YATIKISA UKONGA BANANA DAR ES SALAAM, MASHABIKI WALA RAHA KUBWA MNO!!

1Mtoa huduma katika Kampeni ya Nani Mtani Jembe (kushoto), akizungumza na Mteja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakati wa tamasha lililofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga.
2Wacheza shoo wa kundi la muziki wa Dansi la Extra Bongo wakitoa burudani katika Tamasha la Kampeni ya Nani Mtani Jembe lililofanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bonge la Kiburudisho kwa Watanzania.
3Mpiga gataa wa bendi  ya muziki wa dansi wa kundi la Extra Bongo (kushoto), akicheza na Shabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayoendesha Kampeni  ya  Nani Mtani Jembe ilifanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga4Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo Ally Choki (kushoto) akicheza  muziki  pamoja na wacheza shoo wake wakati wa Tamasha la Nani Mtani Jembe lilifanyika Banana Dar es Saam leo tamasha hilo ni kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga na kudhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
5Mtoa huduma katika Kampeni ya Nani Mtani Jembe  Mwanahamis  Seleman (kulia), akiwahudumia wateja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakati wa tamasha lililofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo tamasha hilo ni kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga.
6Mashabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakifurahiya Kampeni ya Nani Mtani Jembe wakati wa Tamasha lililofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuzaminiwa nabia hiyo.
7Wacheza shoo wa kundi la muziki wa Dansi la Extra Bongo Wanaume wakiomyesha vitu vyao  katika Tamasha la Kampeni ya Nani Mtani Jembe lililofanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bonge la Kiburudisho kwa Watanzania.
8Wacheza shoo wa Bendi  ya Extra Bongo wakipuliza Vuvuzela katika Tmasha la Nani Mtani Jembe lililofanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuzaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
9Mashabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakikabidhiana zawadi za jezi wakati wa Tamasha la Nani Mtani Jembe lilifanyika Banana Dar es Salaam leo na kuzaminiwa na bia hiyo kwaajili ya Mashabiki wa Simba naYanga
10Mtoa huduma katika Kampeni ya Nani Mtani Jembe (kusoto) akimkabidhi zawadi ya jezi shabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakati wa Kampeni aya Nani Mtani Jembe iliyofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo kampeni hiyo ni kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga.
Picha na Ibrahim Kyaruzi

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...