Tuesday, December 10, 2013

Tanzania Independence Day, at ambassador Meros Residency Geneva



 Katika kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) jana Desemba 9, 2013 ambapo imetimia miaka 52 Balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa hukjo Genever Uswis, Balozi Modest Mero na familia yake walikusanyika nyumbani kwake na watanzania waishio huko katika kusheherekea miaka hiyo 52 ya Uhuru. Fuatilia picha na matukio hayo.
 Watanzania wakimsikiliza Balozi Mero.
 Lulu na mama yake wakipozi. hawa ndio waandaaji wakuu wa shughuli hiyo hapo nyumbani kwa balozi.
 Balozi Modest Mero akikaribisha wageni
 Mke wa Balozi Mero, Bi Rose Mero (kushoto) akikaribisha wageni

 Balozi Mero akiwa na baadhi ya watanzania waishio Genever.



Maakakuli yalikuwa yakitanzania zaidi

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...