Thursday, December 05, 2013

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Wanavyokatiza Vijijini na Mjini Mkoani Mbeya kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (aliyeshika tangi kushoto) akichungulia kina cha tanki, wakati akikagua ujenzi wa mradi wa maji kata ya Iwindi, Mbeya Vijijini, Des 3, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akikatiza mitaa wakati akienda kwa mjumbe wa shina namba moja, Mtaa wa Nsalala, Barabara ya Tunduma, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Vijijini Dk. Norman Sigala, Des 3, 2013.
Mjumbe wa Shina namba moja, Lidya Mwangoka akifungua kikao cha shina lake, kilichohudhuriwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (watatu kusho), Katibu Mkuu huyo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya, Des 3, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Maombi, Kata ya Mbalizi, Mbeya Vijijini, jana, Des 3, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA), leo Des 4, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya. Wengine kutoka kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule, Dk. Asha-Rose Migiro na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Mbungewa Mbozi Mashariki Godfrey Zambi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA), leo Des 4, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya. Wengine kutoka kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule, Dk. Asha-Rose Migiro na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Mbungewa Mbozi Mashariki Godfrey Zambi.Picha Zote na Bashir Nkromo

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...