Mmoja
wa wakazi wa kata ya Isansa akiimba
shairi la kupongeza juhudi za Waziri wa
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo katika kupeleka umeme vijijini.
Friday, November 01, 2013
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO ATEMBELEA WILAYA YA MBOZI IKIWA NI PAMOJA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
Kikundi
cha ngoma za asili kutoka katika kijiji cha Lyula kikitumbuiza wakati wa
mapokezi ya ugeni wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
katika kijiji hicho.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na wanakijiji wa
Lyula. Profesa Muhongo amewataka wananchi hao kujiandaa mradi wa umeme unaotarajia kuanza kutekelezwa
mapema Novemba kwa kufunga nyaya za
umeme katika nyumba zao.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiagana na wanakijiji wa Lyula.
Wanakijiji hao wamefurahishwa mno na ujio wake huku wakitamani aendelee kuwa
nao.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisikiliza kero ya mmoja wa
wananchi wa kata ya Isansa.
Wanakijiji
wa kata ya Isansa wakishangilia hotuba ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo (hayupo pichani)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment