Monday, November 18, 2013

Rais Jakaya Kikwete akutana na viongozi Mbalimbali Colombo Srilanka


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini mwishoni mwa mkutano wa wakuu wan chi za jumuiya ya Madola uliomalizika jijini Colombo Srilanka leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na katibu mkuu wa Jumuiya za madola Dkt.Kamalesh Sharma jijini Colombo Srilanka mwshoni mwa mkutano wa wakuu wa nchi hizo leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Malaysia Mohamed  Najib Abdul Razak mwishoni mwa mkutano wa jumuiya ya Madola uliofanyika jijini Colombo Srilanka
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott(kushoto) na Waziri Mkuu wa New Zealand John Key(wapili kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya madola jijini Colombo nchini Srilanka leo mchana.Watatu kushoto pembeni ya Rais ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernard Membe.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...