Rais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala akikabidhi cheti maalum cha kutambua utendakazi na mchango wa Nehemia Mchechu Kyando Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) wakati Club hiyo ilipomkabidhi cheti na tuzo maalum katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.Rais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala akikabidhi tuzo maalum ya kutambua utendakazi na mchango wa Nehemia Mchechu Kyando Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) wakati Club hiyo ilipomkabidhi cheti na tuzo maalum katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.Kushoto ni Paul Mashauri na na wajumbe wengine wa Rotary Club wakimpigia makofi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando hayupo pichani mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyoMkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando akitoa shukurani zake kwa Rais wa Rotary Club na wajumbe wake mara baada ya kukabidhiwa tuzio hiyo. kulia ni Rais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala.Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando akizungumza jambo na Paul Mashauri Mwenyekiti wa East Africa Speakers Bureau (EASB) na katikati ni Meneja Huduma kwa Jamii wa NHC, Muungano Kasibi SaguyaMkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Mzizima Rotary Club Bw. Ambrose Ntageki Nshala mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo janaMkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Paul Mashauri Mwenyekiti wa East Africa Speakers Bureau (EASB)Baadhi ya wajumbe wa Rotary Club Mzizima wakiwa katika hafla hiyoBaadhi ya wajumbe wa Rotary Club Mzizima wakiwa katika hafla hiyoBaadhi ya wajumbe wa Rotary Club Mzizima wakiwa katika hafla hiyoMeneja Huduma kwa Jamii wa NHC , Muungano Kasibi Saguya kushoto akiwa na
Yahya Charahani ambaye ni Meneja Mawasiliano wa NHC wakiwa katika hafla hiyo jana
Yahya Charahani ambaye ni Meneja Mawasiliano wa NHC wakiwa katika hafla hiyo jana
No comments:
Post a Comment