Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika picha ya pamoja na Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akijadiliana jambo na Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kwenye jengo la NHC House.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiwaonyesha kitu Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kwenye jengo la NHC House.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiuongoza Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kuingia kwenye jengo la NHC House.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiwaonyesha kitu Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kwenye jengo la NHC House.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mhe. Ndejembi Akutana na Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta (TAOMAC)
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAO...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. . Picha na Jube Tranqu...
No comments:
Post a Comment