Monday, November 04, 2013

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA VIETNAM MHE. VO THANH NAM

IMG_6572Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini Mheshimiwa Vo Thanh Nam huko Ikulu hapa Dar es Salaam tarehe 4.11.2013. 
IMG_6582Rais Dkt. Kikwete  akiwa katika  mazungumzo na Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini Mheshimiwa Vo Thanh Nam
PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...