MAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam jana amefariki dunia leo asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa matibabu.
Kufariki kwa Francis kunafanya idadi ya watu waliofariki katika tukio hilo hadi hivi sasa huku ikiacha majeruhi wawili mmoja Christina Alfred Newa Mwanafunzi wa masuala ya
Mawasiliano visiwa vya Syprus na mama mzazi wa Christina, Hellen Elieza Newa.Aidha mipango ya mazishi ya mtumishi wa Benki ya Barclays ya jijini Dar es Salaam, Alfa Alfred Newa inafanyika nyumbani kwao Ilala karibu na Kablu ya wazee huku maziko
yakisubiri kutengemaa kwa afya ya mama mzazi.familia imekiri kuwa Christina na
Marehemu Munisi walikuwa na mahusiano lakini ni zamani na walitengana
kutokana na vurugu alizowahi mfanyia siku za nyuma.
IKUMBUKWE Tukio la shambulizi la
risasi lililotokea hii Novemba 19, 2013 asubuhi Ilala Amana jirani na
Hoteli ya MM na Klabu maarufu ya wazee
limesababisha vifo vya watu wawili na kuacha majeruhi watatu wawili kati
yao
wakiwa taabani.
Taarifa za awali za Polisi zinapasha kuwa, Watu
walio poteza maisha katika tukio hilo ambalo lilikuwa ni la mtu aliyetambulika
kwa jila la Godfrey Munisi kuwapiga risasi wana familia lilisababisha kifo cha
Alfa Alfred na liliwajeruhi Francis Khiranga Shumira , Christina Alfred, Hellen Elieza Newa.
Taarifa hizo zinasema kuwa Mfyatua risasi huyo
ambaye baade alijiua nayeye, Godfrey Munisi alikuwa na uhusiano wa karibu na
Christina Alfred Newa.
Katika tukio hilo, ambalo linaelezwa kuto tofautiana
sana na lile la Mwanahabari ufoo Saro lililotokea miezi ya hivi karibuni,
muuaji alimjeruhi Nshumila kifuani na
mama yake Christina alijeruhiwa maeneo
ya begani na hali zao siyo nzuri na wamelazwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili.
Huku Christina akijeruhiwa mkononi na mguuni
ambapo alitibiwa katika Hospitali ya Amana na Kuruhusiwa kurudi nyumbani huku mdogo
wa Christina, Alfa Alfred akifariki kabla ya kufikishwa Hospitali.
Marehemu Alfa Alfred Newa pia alikuwa
wa benki ya Barclays ya jijini Dar es Salaam. Shumira ni baharia
kitaaluma na inaelezwa kuwa ni raia wa Kenya.

No comments:
Post a Comment