Monday, November 04, 2013

Matokeo Darasa la Saba Yatoka;Ufaulu Waongezeka Yasome Hapa Kwa Umakini Mkubwa

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Dk Charles Msonde
 akionyesha moja ya karatasi za majibu ya mtihani wa darasa la saba kwa waandishi
wahabari Dar es Salaam jana, wakati wa kutangaza matokeo ya mtihani huo wa
mwaka huu. Picha na Emmanuel Herman  
----

Dar es salaam Tanzani Matoke ya Darasa la Saba yametangazwa hivi punde hivi
 punde na mwaka huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana
mbaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya mtihani
mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na wanafunzi wa
 mwaka jana Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema
ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01 na 28.06
 ukilinganisha na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu zaidi katika
somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio faulu kwa kiwango kidogo
zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62 Msonda amesema jumla
ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani huo wamepata alama

ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na asilimia 50.61

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...