Thursday, August 15, 2013

TRAFIKI FEKI ALIYEKAMATWA AKILA VICHWA TABATA JIJINI DAR ES SALAAM


 Afande feki  akiwa Kituo cha Polisi Stakishari
Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara, Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake, akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa. Askari huyo feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukua nafasi yake kwa udanganyifu huo aliokwisha ufanya na kujipatia pesa kwa madereva kibao.
 Afande huyo akiwa Kituo cha Polisi Stakishari.
Afande huyo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa jana akila vichwa maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.Picha na Issa Michuzi

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...