Thursday, August 15, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AKABIDHIWA KATIBA NA VIONGOZI WA SHIMUTA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Nyaraka za Katiba ya Shirikisho hilo, kutoka kwa Mwenyekiti wake, Khamis Mkanachi, wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salam,jana Agosti 13, 2013 kwa ajili ya mazungumzo. Katikati (kulia) kwa Makamu ni Naibu Katibu wa Makamu wa Rais Mohamed Khamis.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa Shirikisho, wakati Uongozi huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salam,jana kwa ajili ya mazungumzo na kumkabidhi Katiba ya Shirikisho hilo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho hilo, Joycwlline Mwailolo, baada ya maongezi yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mjumbe wa Shirikisho hilo, Mbozi Ernest Katala, baada ya maongezi yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho hilo baada ya maongezi yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...