Friday, August 16, 2013

MOTO KUWAKA REDD'S MISS ILALA LEO

Mratibu wa Shindano la Redds Miss Tanzania Kanda ya Ilala 2013, Juma Mabakila (katikati waliokaa), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitangaza zawadi watakazopewa washindi wa shindano hilo litakalofanyika leo kwenyeUkumbi wa Golden Jubilee Dar es Salaam. Kutoka kushoto waliokaa ni Mkufunzi wa warembo hao Hafsa na William Malecela.

No comments:

KAMISHNA KUJI ATOA WITO TANAPA KUWA NA SACCOS MOJA

Na Edmund Salaho - Tanga Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji ambaye pia ni mlezi wa HIFADHI SACCOS LTD ametoa wito kwa watumi...