Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin William
Mkapa pamoja na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama
Anna Mkapa, wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya
kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe. Robert Mugabe,
inayotarajiwa kufanyika kesho
Alhamisi Agosti 21,…
Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin William
Mkapa pamoja na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna
Mkapa, wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya
kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe. Robert Mugabe,
inayotarajiwa kufanyika kesho
Alhamisi Agosti 21, 2013. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment