Feza Kessy
MTANZANIA pekee aliyekuwa amebaki katika mjengo wa Big Brother
Africa 'The Chase', Feza Kessy naye ameondolewa katika jumba hilo.
Feza ametolewa katika shindano hilo akiwa mshiriki wa 20 kuaga shindano
hilo ikiwa ni wiki chache mwenzake kutoka hapa nchini Ammy Nando
kutolewa katika mjengo huo.
No comments:
Post a Comment