Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio bango lililokua limewekwa.
Hapa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.
Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka alipo wasili Msibani.
Mc wa Shughuli ya Mazishi alikua ni JB.
Maelfu ya Waombolezaji waliokaa kila kona ya Eneo la Msiba wakifuatilia taratibu ya Mazishi.
Waombolezaji wakifuatilia Taratibu za Mazishi kupitia Luninga zilizokua zimewekwa kila kona
Waombolezaji wakiwa katika kwenye foleni ndefu ya watu wakiwa wanaelekea kwenda kutoa heshima za Mwisho kwa Marehemu.
Kwa picha za matukio zaidi kuhusiana na mazishi ya bilionea Erasto endelea kutembeleawww.kingjofa.blogspot.com
No comments:
Post a Comment