Saturday, May 25, 2013

WANANCHI KUSHIRIKI ZOEZI LA KUCHANGIA MAONI MPANGO WA MAENDELEO

IMG_7504Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Peniel Lymo (Kushoto) akiongea na mwakilishi wa Kamati  ilyioandaa maonesho ya mfumo wa Matokeo Makubwa  Sasa awamu ya kwanza yaliyozinduliwa jana jijini Dar es Salaam. IMG_7515 
Waziri Mkuu Mh.Mizengo Peter Pinda (Kulia) akisalimiana na mwakilishi wa Kamati ya maandalizi ya ufunguzi kusimamia mfumo wa Matokeo Makubwa  Sasa awamu ya kwanza IMG_7516 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Bwana Assah Mwambene akiingia katika viwanjwa vya Makumbusho ya Taifa  jijini Dar es Salaam kuhudhuria ufunguzi wa maonesho ya  mfumo wa Matokeo Makubwa  Sasa awamu ya kwanza. IMG_7523 
IMG_7529 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania Mh.Dk. Jakaya Mrisho Kikwete(Kulia) akisalimiana na mwakilishi wa Kamati ya kusimamia Mpango wa maendeleo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...