Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi
wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Benjamin William Mkapa wakiangalia aina mbalimbali ya mihogo wakati wa uzinduzi wa jengo
la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais mstaafu wa
Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo baada ya
uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa baada ya
uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun
Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakiteta jambo baada ya kuzindua rasmi jengo
la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun
Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua
rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA
Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin
William Mkapa wakizindua
rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Nigeria na
Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa
Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakionja mikate iliyotengenezwa
kwa unga wa muhogo wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo
cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini
Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi
wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Benjamin William Mkapa wakisikiliza maelezo ya kitaalamu juu ya
utafiti wa maradhi ya migomba toka kwa Profesa Rony Swennen wakati wa
uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na akiangalia katika darubini vimelea vya magonjwa ya mihogo
vilivyo katika sehemu ya utafiti baada ya kuzindua rasmi rasmi jengo
la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akiwa na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso E. Lenhardt pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Mhe. Tonia Kandiero
wakati wa uzinduzi rasmi rasmi jengo la sayansi katika kituo cha
Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar
es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA
Chifu Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa akihutubia wakati wa
uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa
uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya
Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13,
2013.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief
Olesegun Obasanjo wakisiliza maelezo ya tafiti mbalimbali za mihogo
baada ya kuzindua rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya
Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam
leo Mei 13, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mazungumzo na Rais
mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun
Obasanjo baada ya uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi
ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es
salaam leo Mei 13, 2013.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA
Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin
William Mkapa katika
picha ya pamoja na wadau wa maendeleo bnaada ya kuzindua rasmi jengo
la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment