Msaidizi
wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Rajinder Singh (wa pili kulia)
akikata utepe kuzindua Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC
(NBC-WNF) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka
kushoto ni Mwenyekiti wa jukwaa hilo, Minnie Kibuta, Mkuu wa Rasilimali
Watu wa benki hiyo, Flora Mollel Lupembe na Meneja Mahusiano Jamii wa
NBC, Robi Matiko Simba.
Viongozi
wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa Benki ya NBC, wakipozi
kwa picha muda mfupi baada ya kufanyika kwa uzinduzi rasmi wa mtandao
huo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi wa
wafanyakazi wanawake wa NBC wakiwa katika hafla ya uzinduzi Mtandao wa
Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa benki hiyo (NBC-WNF), jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki
Baadhi ya
wafanyakazi wa Benki ya NBC wakibadilishana mawazo wakati wa sherehe za
uzinduzi wa Mtandao wa Jukwaa la Wanawake Wafanyakazi wa NBC (NBC-WNF),
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment